Hawa ndiyo warembo waliofanikiwa kuwa wawakilishi wa Miss Talent katika fainali za Miss Tanzania mwaka huu. Kutoka kushoto ni Zena Rashid, Silyvia Shao, Margaret Peter, Husna Mohamed na Doris Jimmy.
Vimwana watakaowania taji la Redds Miss Temeke 2009 wakiwa katika pozi mara baada ya mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa idara ya habari maelezo leo.