ad

4.4.09

JB MPIANA KIBOKO !!!

JB Mpiana na kundi zima la Wenge BCBG bado ni mwanamuziki anayetisha na mbishi sana kwenye Gemu kwa wanamuziki wanaotoka Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Afrika kwa ujumla mwanamuziki huyu amekuwa hashuki wala hapandi sana katika kiwango chake cha muziki lakini ukitaka kumtambua kama ni mwanamuziki mkali, ni kupitia katika maonyesho yake ambayo amekuwa akifanya katika nchi mbalimbali Duniani mwanamuziki huyu mwaka jana mwishoni mwa mwezi wa Desember alidhihirisha ukali wake wakati alipokuwa nchini Marekani katika jiji la New York ambako alifanya onyesho la kukata na shoka kwenye ukumbi wa The Fillmore kwa kwa mwaliko wa kusherehekea ushindi wa Rais Barrack Obama, ni kazi ngumu kwa wanamuziki wetu wa hapa nyumbani kufikia mafanikio haya kwani wanahitajika kuwa wabunifu sana na wenye kujifunza mambo mbalimbali ili uwe mwanamuziki wa kimataifa unatakiwa kufanya nini, ili waweze kushindana katika soko muziki wa kiamtaifa kama walivyo wenzao kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika ambao wamepiga hatua kwa kiwango cha hali ya juu picha hizi mdau ni kwa hisani ya mtandao wa www.Afropop.gov.


2.4.09

EAST AFRICANS IN UK ARE U READY?


MILEY Cyrus SNUBS Obama GIRLS

Barack Obama’s kids might be the most popular girls in school, but that doesn’t seem to cut any cloth with Miley Cyrus after she refused to let the pair see the preview of her new movie.
The Hannah Montana star has insisted that the Obama girls will have to wait and see the latest Hannah Montana exploits just like all her other fans, after Malia, 10, and Sasha, seven, have requested a private screening of Hannah Montana: The Movie at the White House.
Miley says, "They want me to send them a copy, so we will - but, like everyone else, they have to wait 'til April 10th. Even the President."
I wonder if the Jonas Brothers are tarred with the same brush?

DAVID BANDA MADONNA VISITS BIOLOGICAL DAD


David Banda Madonna, adopted from Malawi, went to visit his biological father Yohane Banda on Monday with his mum (singer Madonna).
It was their first visit since 2006.
“Madonna is committed to maintaining an ongoing relationship with David’s Malawian roots,” said Liz Rosenberg in a statement Tuesday morning.
Madonna arrived in the Southern African nation this week with David, her 12-year-old daughter Lourdes, and 8-year-old son Rocco, to begin adoption proceedings on a 4-year-old girl named Mercy James. The family is staying in a lodge in the Malawian village of Liliongwe.

pages listed by date